sw_gen_text_reg/44/20.txt

1 line
361 B
Plaintext

\v 20 Nasi tukamwambia bwana wangu, 'Tunaye baba, ni mzee, na mwana wa uzee wake, ni mdogo. Na ndugu yake alishakufa, na yeye peke yake ndiye amebaki kwa mama yake, na baba yake anampenda.' \v 21 Nawe ukawambia matumishi wako, 'Mleteni ili nimwone.' \v 22 Nasi tukamwambia bwana wangu, 'Kijana hawezi kumwacha babaye. Kwani akimwacha babaye baba yake angekufa.'