sw_gen_text_reg/44/01.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 1 Yusufu akamwamru msimamizi wa nyumba yake, akisema, "Jaza magunia ya watu hawa kwa chakula, kiasi wawezacho kubeba, na uweke pesa ya kila mtu katika mdomo wa gunia lake. \v 2 Uweke kikombe changu, cha fedha, katika mdomo wa gunia la mdogo, na pesa yake ya chakula pia." Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyosema.