sw_gen_text_reg/39/19.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 19 Ikawa, bwana wake aliposikia maelezo aliyoambiwa na mkewe, "Hivi ndivyo mtumishi wako alivyonitenda," alikasirika sana. \v 20 Bwana wa Yusufu akamchukua na kumweka gerezani, mahali walipowekwa wafungwa wa mfalme. Akawa pale kifungoni.