sw_gen_text_reg/39/16.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 16 Akaweka nguo zake karibu naye hata bwana yake alipokuja nyumbani. \v 17 Akamwambia maelelezo haya, "Yule mtumishi Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kunidhihaki. \v 18 Ikawa nilipopiga kelele, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje."