sw_gen_text_reg/39/10.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 10 Akamwambia Yusufu siku baada ya siku, lakini yeye akakataa kulala naye wala kuwa naye. \v 11 Ikawa siku moja aliingia ndani kufanya kazi yake. Hakuna mtu yeyote wa nyumbani aliyekuwepo pale ndani. \v 12 Akashika nguo zake na kusema, "Lala nami." Akaacha nguo zake mikononi mwake, akakimbia, na kutoka nje.