sw_gen_text_reg/38/29.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 29 Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka kwanza. Mkunga akasema, "Umetokaje" Na akaitwa Peresi. \v 30 Kisha ndugu yake akatoka, akiwa na utepe wa zambarau juu ya mkono wake, naye akaitwa Zera.