sw_gen_text_reg/38/17.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 17 Akasema, "Nitakuletea mwana mbuzu wa kundi." Akasema, "Je utanipa rehani hata utakapo leta?" \v 18 Akasema, "Nikupe rehani gani?" Naye akasema, "Mhuri wako na mshipi, na fimbo iliyo mkononi mwako." Akampa na kulala naye. Akawa mjamzito.