sw_gen_text_reg/38/12.txt

1 line
449 B
Plaintext

\v 12 Baada ya muda mrefu, binti Shua, mkewe Yuda, alikufa. Yuda akafarijika na kwenda kwa wakatao kondoo wake manyoya huko Timna, yeye na rafiki yake, Hira Mwadulami. \v 13 Tamari akaambiwa, "Tazama, mkweo anakwenda Timna kukata kondoo wake manyoya." \v 14 Akavua mavazi yake ya ujane na akajifunika kwa ushungi. Akakaa katika lango la Enaimu, lililoko kando ya njia iendayo Timna. Kwa maana aliona kwamba Shela amekua lakini akupewe kuwa mke wake.