sw_gen_text_reg/38/08.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 8 Yuda akamwambia Onani, "Lala na mke wa nduguyo. Fanya wajibu wa shemeji kwake, na umwinulie nduguyo mwana." \v 9 Onani alijua kwamba mtoto asingekuwa wake. Pindi alipolala na mke wa kaka yake, alimwaga mbegu juu ya ardhi ili kwamba asimpatie nduguye mtoto. \v 10 Alilolifanya lilikuwa ovu mbele za Yahwe. Yahwe akamwua pia.