sw_gen_text_reg/38/03.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 3 Akawa mjamzito na kuzaa mwana. Akaitwa Eri. \v 4 Akawa mjamzito tena na kuzaa mwana tena. Akamwita jina lake Onani. \v 5 Akazaa mwana mwingine akamwita jina lake Shela. Alikuwa huko Kezibu alipomzaa.