\v 29 Rubeni akarudi kwenye shimo, na, tazama, Yusufu hakuwemo shimoni. Akararua mavazi yake. \v 30 Akarudi kwa ndugu zake na kusema, "Kijana yuko wapi? Na mimi, je niende wapi?"