sw_gen_text_reg/37/25.txt

1 line
335 B
Plaintext

\v 25 Wakakaa chini kula mkate. Walipoinua macho yao na kuangalia, na, tazama, msafara wa Waishmaeli ulikuwa ukija kutoka Gileadi, pamoja na ngamia wao waliochukua viungo, malhamu na manemane. Walikuwa wakisafiri kuvichukua kuelekea Misri. \v 26 Yuda akawambia ndugu zake, "Ni faida gani kama tutamwua ndugu yetu na kufunika damu yake?