\v 23 Ikawa Yusufu alipowafikia ndugu zake, walimvua vazi lake zuri. \v 24 Wakamchukua na kumtupa shimoni. Shimo lilikuwa tupu bila maji.