sw_gen_text_reg/37/18.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 18 Wakamwona kutokea mbali, na kabla hajawakaribia, wakapanga njama ya kumwua. \v 19 Ndugu zake wakaambiana wao kwa wao, "Tazama, mwotaji anakaribia. \v 20 Njoni sasa, na tumwue na kumtupa katika mojawapo ya mashimo haya. Nasi tutasema, 'Mnyama mkali amemrarua.' Nasi tutaona ndoto zake zitakuwaje."