sw_gen_text_reg/37/12.txt

1 line
385 B
Plaintext

\v 12 Ndugu zake wakaenda kulichunga kundi la baba yao huko Shekemu. \v 13 Israeli akamwambia Yusufu, 'Je ndugu zako hawalichungi kundi huko Shekemu? Njoo, nami nitakutuma kwao." Yusufu akamwambia, "nipo tayari." \v 14 Akamwambia, "Basi nenda, uwaone ndugu zako na kundi wanaendeleaje, na uniletee neno." Hivyo Yakobo akamtuma kutoka katika bonde la Hebroni, na Yusufu akaenda Shekemu.