sw_gen_text_reg/36/40.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 40 Haya ndiyo yalikuwa majina ya wakuu wa koo kutoka uzao wa Esau, kwa kufuata koo zao na maeneo yao, kwa majina yao: Timna, Alva, Yethethi, \v 41 Oholibama, Ela, Pinoni, \v 42 Kenazi, Temani, Mbza, \v 43 Magdieli, na Iramu. Hawa walikuwa wakuu wa ukoo wa Edomu, kwa kufuata makao yao katika nchi waliyomiliki. Nao ni Esau, baba wa Waedomu.