sw_gen_text_reg/36/37.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 37 Samla alipofariki, kisha Shauli wa Rehobothi kando ya mto alitawala mahali pake. \v 38 Shauli alipofariki, kisha Baali Hanani mwana wa Akbori akatawala mahali pake. \v 39 Baali Hanani mwana wa Akbori, alipokufa, kisha Hadari akatawala mahali pake. Jina la mji wake lilikuwa Pau. Jina la mkewe lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, mjukuu wa Me Zahabu.