sw_gen_text_reg/36/34.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 34 Yobabu alipofariki, Hushamu aliyekuwa wa nchi ya Watemani, akatawala mahali pake. \v 35 Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi aliyewashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu, akatawala mahali pake. Jina la mji wake lilikuwa Avithi. \v 36 Hadadi alipofariki, kisha Samla wa Masreka akatawala mahali pake.