sw_gen_text_reg/36/25.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 25 Hawa walikuwa watoto wa Ana: Dishoni na Oholibama, binti Ana. \v 26 Hawa walikuwa wana wa Dishoni: Hemdani, Eshbani, Ithrani, na Kerani. \v 27 Hawa walikuwa wana wa Ezeri: Bilhani, Zaavani, na Akani. \v 28 Hawa walikuwa wana wa Dishani: Uzi na Arani.