sw_gen_text_reg/36/20.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 20 Hawa walikuwa wana wa Seiri Mhori, wenyeji wa nchi hiyo: Lotani, Shobali, Zibeoni, Ana, \v 21 Dishoni, Ezeri, na Dishani. Hizi zilikuwa koo the Wahori, wenyeji wa Seiri katika nchi ya Edomu. \v 22 Wana wa Lotani walikuwa Hori na Hemani, na Timna alikuwa dada wa Lotani.