sw_gen_text_reg/36/09.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 9 Hivi ndivyo vizazi vya Esau, babu wa Waedomu katika nchi ya mlima Seiri. \v 10 Haya yalikuwa majina ya wana wa Esau: Elifazi mwana wa Ada, mkewe Esau; Reueli mwana wa Basemathi, mkewe Esau. \v 11 Wana wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Zefo, Gatamu, na Kenazi. \v 12 Timna, suria wa Elifazi, mwana wa Esau, akamzaa Amaleki. Hawa walikuwa wajukuu wa Ada, mkewe Esau.