\v 4 Ada akamzaa Elifazi kwa Esau, na Basemathi akamzaa Reueli. \v 5 Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu, na Kora. Hawa walikuwa wana wa Esau waliozaliwa kwake katika nchi ya Kananaani.