sw_gen_text_reg/35/28.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 28 Isaka akaishi miaka mia moja na themanini. \v 29 Isaka akapumua pumzi yake ya mwisho na akafa, na akakusanywa kwa wahenga wake, na mtu mzee amejaa siku. Esau na Yakobo, wanawe, wakamzika.