sw_gen_text_reg/35/23.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 23 Wanawe kwa Lea walikuwa Rubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simoni, Lawi, Yuda, Isakari, na Zabuloni. \v 24 Wanawe kwa Raheli walikuwa Yusufu na Benjamini. \v 25 Wanawe kwa Bilha, mjakazi wa Raheli walikuwa Dani na Naftali.