sw_gen_text_reg/35/14.txt

1 line
216 B
Plaintext

\v 14 Yakobo akaweka nguzo katika eneo ambalo Mungu alikuwa ameongea naye, nguzo ya jiwe. Akamimina juu yake sadaka ya kinywaji na akamimina mafuta juu yake. \v 15 Yakobo akaiita sehemu Mungu aliyoongea naye, Betheli