sw_gen_text_reg/35/11.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 11 Mungu akamwambia, "Mimi ni Mungu Mwenyezi, Uwe mwenye kuzaa na kuongezeka. Taifa na wingi wa mataifa watakujia, na wafalme watatoka miongoni mwa uzao wako. \v 12 Nchi ambayo nilimpa Ibrahimu na Isaka, nitakupa wewe. Nami nitaupa pia uzao wako baada yako nchi hii." \v 13 Mungu akapanda kutoka mahali alipoongea naye.