sw_gen_text_reg/35/09.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 9 Yakobo alipokuja kutoka Padani Aramu, Mungu akamtokea tena na kumbariki. \v 10 Mungu akamwambia, "Jina lako ni Yakobo, lakini jina lako halitakuwa Yakobo tena. Jina lako litakuwa Israeli." Hivyo Mungu akamwita jina lake Israeli.