sw_gen_text_reg/31/48.txt

1 line
380 B
Plaintext

\v 48 Labani akasema, "Rundo hili ni shahidi kati yangu nawe leo." Kwa hiyo jina lake likaitwa Galedi. \v 49 Inaitwa pia Mispa, kwa sababu Labani alisema, "Yahwe na atuangalie mimi nawe, tunapokuwa hatuonani. \v 50 Ikiwa utawatesa binti zangu, au ikiwa utachukua wanawake wengine mbali na binti zangu, japokuwa hakuna mwingine yupo nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati yangu nawe."