sw_gen_text_reg/31/45.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 45 Hivyo Yakobo akachukua jiwe na kuliweka kama nguzo. \v 46 Yakobo akawambia ndugu zake, "Kusanyeni mawe." Hivyo wakachukua mawe na kufanya rundo. Kisha wakala pale kati ya lile rundo. \v 47 Labani aliliita Yega Saha Dutha, lakini Yakobo akaiita Galeedi