sw_gen_text_reg/31/36.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 36 Yakobo akakasirika na kuojiana na Labani. Akamwambia, "Kosa langu ni nini? Dhambi yangu ni ipi, hata ukanifuatia kwa ukali? \v 37 Kwa maana umechunguza mali zangu zote. Umeona nini kati ya kitu chochote cha nyumbani mwako? Viweke hapa mbele ya ndugu zetu, ili waamue kati yetu wawili.