sw_gen_text_reg/31/34.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 34 Basi Raheli alikuwa ameichukua miungu ya nyumbani, na kuiweka katika ngozi ya ngamia, na kukaa juu yake. Labani akatafuta katika hema yote, lakini hakuiona. \v 35 Akamwambia baba yake, "Usikasirike, bwana wangu, kwamba siwezi kusimama mbele yako, kwani nipo katika kipindi changu." Hivyo akatafuta lakini hakuiona miungu ya nyumbani mwake.