sw_gen_text_reg/31/31.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 31 Yakobo akajibu na kumwambia Labani, "Ni kwa sababu niliogopa na kudhani kuwa ungeninyang'anya binti zako kwa nguvu ndiyo maana nikaondoka kwa siri. \v 32 Yeyote aliyeiiba miungu yako hataendelea kuishi. Mbele ya ndugu zetu, onesha chochote kilichochako nilichonacho na uchukue." Kwa maana Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameviiba.