\v 22 Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia. \v 23 Hivyo akawachukua ndugu zake pamoja naye na kumfuatia kwa safari ya siku saba. Akampata katika nchi ya vilima ya Gileadi.