sw_gen_text_reg/31/17.txt

1 line
262 B
Plaintext

\v 17 Kisha Yakobo akainuka na kuwapandisha wanawe na wakeze kwenye ngamia. \v 18 Akawaongoza mifugo wake wote mbele yake, pamoja na mali zake zote, wakiwemo wanyama aliowapata huko Padani Aramu. Kisha akaenda kuelekea kwa Isaka baba yake katika nchi ya Kanaani.