sw_gen_text_reg/31/07.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 7 Baba yenu amenidanganya na amebadilisha ujira wangu mara kumi, lakini Mungu hakumruhusu kunidhuru. \v 8 Ikiwa alisema, 'Wanyama wenye mabaka watakuwa ujira wako,' ndipo kondoo wote walipozaa watoto wenye mabaka. Na aliposema, wenye milia watakuwa ujira wako,' ndipo kundi lote lilipozaa watoto wenye milia. \v 9 Kwa njia hii Mungu amemnyang'anya mifugo baba yenu na kunipa mimi.