sw_gen_text_reg/31/01.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 1 Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani, wakisema, "Yakobo amechukuwa yote yaliyokuwa ya baba yetu, na ni kutoka katika mali ya baba yetu amepata utajiri wake." \v 2 Yakobo akaona mwonekano katika uso wa Labani. Akaona kwamba nia yake imebadilika. \v 3 Kisha Yahwe akamwambia Yakobo, "Rudi katika nchi ya baba zako na ya ndugu zako, nami nitakuwa nawe."