sw_gen_text_reg/30/29.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 29 Yakobo akamwambia, "Unajua nilivyokutumikia, na jinsi ambavyo mifugo wako wamekuwa nami. \v 30 Kwani walikuwa wachache kabla sijaja, na wameongezeka kwa wingi. Popote nilipokutumikia Mungu amekubariki. Je ni lini mimi nitaandaa kwa ajili ya nyumba yangu pia?"