\v 27 Labani akamwambia, "Ikiwa nimepata kibali machoni pako, subiri, kwa sababu nimejifunza kwa kutumia uaguzi kwamba Yahwe amenibariki kwa ajili yako." \v 28 Kisha akasema, "Taja ujira wako, nami nitalipa."