sw_gen_text_reg/30/25.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 25 Baada ya Raheli kumzaa Yusufu, Yakobo akamwambia Labani, "Niache niande, ili kwamba niende nyumbani kwetu na katika nchi yangu. \v 26 Nipe wake zangu na watoto wangu niliokutumikia kwa ajili yao, na uniache niondoke, kwani unafahamu nilivyokutumikia.