sw_gen_text_reg/30/12.txt

1 line
169 B
Plaintext

\v 12 Kisha Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana wa pili. \v 13 Lea akasema, "Nina furaha! Kwa maana mabinti wataniita furaha." Hivyo akamwita jina lake Asheri.