sw_gen_text_reg/30/09.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 9 Lea alipoona kwamba ameacha kuzaa, akamchukua Zilpa, mjakazi wake, na kumpa Yakobo kama mke wake. \v 10 Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana. \v 11 Lea akasema, "Hii ni bahati njema!" Hivyo akamwita jina lake Gadi.