sw_gen_text_reg/30/07.txt

1 line
202 B
Plaintext

\v 7 Bilha, mjakazi wa Raheli, akashika mimba tena na kumzalia Yakobo mwana wa pili. \v 8 Raheli akasema, "Kwa mashindano yenye nguvu nimeshindana na dada yangu na kushinda." Akamwita jina lake Naftali.