sw_gen_text_reg/30/05.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 5 Bilha akashika mimba na kumzalia Yakobo mwana. \v 6 Kisha Raheli akasema, "Mungu ameamua kwa faida yangu. Ameyasikiliza maombi yangu na kunipa mwana." Kwa sababu hiyo akamwita jina lake Dani