sw_gen_text_reg/30/03.txt

1 line
199 B
Plaintext

\v 3 Akasema, "Tazama, kuna mjakazi wangu Bilha. Lala naye, hivyo aweze kuzaa watoto magotini pangu, nami nitapata watoto kwake. \v 4 Hivyo akampa Bilha mjakazi kama mke wake, na Yakobo akalala naye.