sw_gen_text_reg/30/01.txt

1 line
244 B
Plaintext

\v 1 Raheli alipoona kwamba hamzalii Yakobo watoto, Raheli akamwonea wivu dada yake. Akamwambia Yakobo, "Nipe watoto, sivyo nitakufa." \v 2 Hasira ya Yakobo ikawaka juu ya Raheli. Akasema, "Mimi ni badala ya Mungu, aliyekuzuilia usipate watoto?