sw_gen_text_reg/29/28.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 28 Yakobo akafanya hivyo, na akatimiza juma la Lea. Kisha Labani akampa Raheli binti yake kuwa mke wake. \v 29 Lakini pia Labani akampa Raheli binti yake Bilha, kuwa mjakazi wake. \v 30 Hivyo Yakobo akalala na Raheli, pia, lakini akampenda Raheli zaidi ya Lea. Hivyo Yakobo akamtumikia Labani kwa miaka saba mingine.