sw_gen_text_reg/29/13.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 13 Labani aliposikia habari kuhusu Yakobo mwana wa dada yake, akaenda kukutana naye, akamkumbatia, akambusu, na kumleta nyumbani kwake. Yakobo akamwambia Labani mambo haya yote. \v 14 Labani akamwambia, "Kwa hakika wewe ni mfupa wangu na nyama yangu." Kisha Yakobo akakaa naye kama mwezi mmoja.