sw_gen_text_reg/29/11.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 11 Yakobo akambusu Raheli na akalia kwa sauti. \v 12 Yakobo akamwambia Raheli kwamba alikuwa ni ndugu wa baba yake, na kwamba alikuwa mwana wa Rebeka. Kisha yeye akakimbia kumwambia baba yake.