sw_gen_text_reg/28/16.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 16 Yakobo akaamka katika usingizi, na akasema, "Hakika Yahwe yupo mahali hapa, sikujua hili." \v 17 Akaogopa na kusema, "Eneo hili linatisha kama nini! Hili sio kingine zaidi ya nyumba ya Mungu. Hili ni lango la mbinguni."