sw_gen_text_reg/28/01.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 1 Isaka akamwita Yakobo, akambariki, na kumwagiza, "Usichukuwe mwanamke katika wanawake wa Kikanaani. \v 2 Inuka, nenda Padani Aramu, katika nyumba ya Bethueli baba wa mama yako, na uchukue mwanamke pale, mmojawapo wa binti za Labani, kaka wa mama yako.